Kiongozi,
Nilitoa guide lines ya kuweka matangazo kwenye jamii forum ili uweze kuuza kwa urahisi. Naomba uitafute ilikuwa na kichwa cha habari "matangazo kwenye Jamii forum"
Hili tangazo lako halijitoshelezi wala halivutii kwa hiyo ni vigumu kupata mtu sahihi wa kununua...