Gari Inauzwa Milion 5.5

Gari Inauzwa Milion 5.5

Chotti de Alba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
348
Reaction score
106
Gari aina ya Mark II inauzwa iko katika hali nzuri sana na bei ni mil 5.5 na maelewano yapo.

Kwa mawasiliano zaidi 0754 771 937

Karibuni
 
Najaribu kuweka attachments inanishinda labda ji kwasababu najaribu iu upload kwa kutumia simu. naweza kumtumia mtu kwa watsap picha ninazo karibuni
 
ni c 1890 4C. naomba tuwasiliane kwa simu nashindwa ku upload picha wapendwa naomba tuelewane. napenda kuweka picha lakini inanisumbua sana picha ninazo. nawakumbusha tena bei maelewano kabisa. karibuni
 
Tumekustukia, yaani hapo mtaani kwenu koote hakuna wa kukusaidia ku upload picha, hata kazini, hata bar ya jirani. Fugia kuku mkweche wako maana huna ushirikiano
 
Tumekustukia, yaani hapo mtaani kwenu koote hakuna wa kukusaidia ku upload picha, hata kazini, hata bar ya jirani. Fugia kuku mkweche wako maana huna ushirikiano

Uwe muelewa Amekuambia Simu anayotumia haiwezi kuattach picha, pia hulipi hadi Umeona gari na kuridhika. Muendee pm akutumie kwa wasap uweke Hapa attachment utakua umesaidia.
 
Nina uhakika ni mark 2 Gx90. Haina Airbags wala ABS. Kuna baloon ipo namba A. AC yake bado inafanya kazi. Engine 1G kavu.
 
Mi ninayo Toyota Duet namba BMQ Syrinder tatu ENGINE EJ-VE naiuza kwa Sh 2.5mil haipungui na ulaji wake wa mafuta imetofautiana kidogo sana na ule wa pikipiki sanlg mpya yaan inanusa tu kwa mawasiliano nipigie 0657304270 nipo masasi
 
Habari Bila Picha Ni Sawa Na Mwanamke Bila Shanga, Au Ni Sawa Na Pilau Bila Kachumbari!
 
Mi ninayo Toyota Duet namba BMQ Syrinder tatu ENGINE EJ-VE naiuza kwa Sh 2.5mil haipungui na ulaji wake wa mafuta imetofautiana kidogo sana na ule wa pikipiki sanlg mpya yaan inanusa tu kwa mawasiliano nipigie 0657304270 nipo masasi

Habari Bila Picha, Ni Sawa Na Pilau Bila Kachumbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom