Gari inauzwa carina IT

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
Toyota carina (2010) iko sokoni Tsh.Ml.10 insurance imekatiwa ushuru kila kitu safi kwa matumizi Pm kwa aliyeko tayari.
 
adi niuze chaki lini? Hata nikienda kukopa benk siwezi kupata zaidi ya mil 5, nikikusanya na miradi yangu ya kuku na mboga mboga ndio itafika mil 6.

Sokoni kwenyewe zinapatikana kwa 8, sasa why 10? Afu unalipa taratibu taratibu.

Ndo maana nkasema atasubiri sana.

Mwalimu chukua mchuma huo
 
Masai acha kudanganya umma kuhusu mwaka wa hilo gari. Model ya namna hiyo hajafikia mika ulioitaja
 
Sio Carina "IT" ni Carina TI! Mini nnayo kama hiyo nauza 7.5 anaehitaji anipm
 

Ha ha ha

Hata mi nimeshangaa sana bei hiyo labda akaiuze kwa wachimba madini wa kahama
 
Kwani kalazimishwa mtu kununua?kama unaona haifai kwako piga kimya atakae pendezwa nayo atasema.
 
Mnapiga kelele wanunuzi wengine watanzania sijui mtabadilika lini!
 
Aliyemuhonga alimdanganya kuwa aliinunua 15mil Sasa yeye kashusha bei anauza 10mil.chezea watoto wa mjini.

Mna shida kwa sikuwahi kujua kama huku kuna watu wa dizaini yenu kahongwe na wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…