chamtemamoto
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 796
- 215
picha ziko wapi mkuu. Unapoweka picha watu wanapata kuona walau colour na body kama bado inalipa au ushaigonga gonga maputi kadhaa.
Mkuu nimeshidwa kuweka picha ngoja nisake maujanja.
ushauri : PM baadhi ya memba wakupatie email zao ili uwatumie alaf wakusaidie kuzibandika hizo picha hapaMkuu nimeshidwa kuweka picha ngoja nisake maujanja.