Gari inatafutwa

Gari inatafutwa

Acha matumizi mabaya ya hela, za makinikia zinakuja vuta subira
 
Offer yangu ni m 8 namba yeyote lkn iwe ktk hali nzuri.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiingia kwa gia hiyo Utalizwa tu,
Ibgia Kimya kimya Zoom au Kupatana.com ukachague huko.
Umakini pia huko unahitajika, kagua gari na Fundi, mnunuzi mfuate mkaongee biashara nyumbani kwake, akikuonyesha kadi kaikague TRA na muombe kitambulisho chake cha serikali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom