K karibukwetusingida JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 290 Reaction score 138 Jan 28, 2017 #1 Mwenye gari aina ya toyota kluger au Toyota harrier namba yoyote ilimradi gari iwe katika hali nzuri,bajeti yangu ni 9m,nipo nzega,ila hata km iko dar naweza kufika tu na kuicheki.
Mwenye gari aina ya toyota kluger au Toyota harrier namba yoyote ilimradi gari iwe katika hali nzuri,bajeti yangu ni 9m,nipo nzega,ila hata km iko dar naweza kufika tu na kuicheki.
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Jan 28, 2017 #3 Njoo dar utaipata , siku hizi Gari bwerere watu wanauza wengi kuliko wanaotafuta.
Chokochoko JF-Expert Member Joined Oct 15, 2011 Posts 438 Reaction score 185 Jan 28, 2017 #4 Ipo Nisan Extrail beio pos na good condition
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,895 Reaction score 136,815 Jan 28, 2017 #5 Gari zipo tatizo bei yako OvA
Bila shuka JF-Expert Member Joined Oct 14, 2014 Posts 596 Reaction score 297 Jan 28, 2017 #6 Ipo harrier Zanzibar,bei ni 8Mil
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,901 Jan 28, 2017 #7 Zipo harrier moja 10m na nyingine 15m. Gharama ya transfer ni yako.