Gari aina hilux pick up engine 3L single cabine naiuza kwa bei nzur tatizo lake ni kukausha maji haraka kwnye rejeta tu na inatumia dizel. Kwa mawasiliano 0787594060
kapicha picha na bei viko wapi!! tuone body hiyo kwanza kwani hapo lazima engine ikapigwe chini...na kui overhaul si chini ya 3m au used ya 4.8m ila kama body na bei iko vizuri itashawishi wanunuzi....ni 4wd?