Ni Mitsubishi Lancer (sport generation car)
- CC 1597
- mwaka wa kutengeneza: 1999
- Awali ilitumika na Kampuni, kusajiliwa kwanza ni 2007
- Consumption 1litre/13-14 km
- Blue colour
- Vibali: Motorvehicle license Feb/2015, Bima June/2015.
- Inatembea
- Milage; 149,505 km
- Plate no AQT
- Ipo Mbeya mjini.
- Marekebisho ni madogo sana (si lazima-hayana athari)
- Umiliki ni halali, wala sio dalali.
- Sababu ya kuuza: Nahitaji kuimarisha mipango ya kibiashara.
- Unaweza kutumia kwa matumizi ya kawaida au hata kibiashara (mafuta inatumia vema)
- Muundo wa injini yake kiufundi unaruhusu replacement ya engine full za Toyota; 4E AU 5A au 7A(engine, gearbox, distributor, nk) HAINA maana kwamba ingine iliyopo ni mbovu au mbaya ila wengine huwa na mapenzi na Injini fulani.
- Wasiliana tuongee; 0652 656565
tangazo limekamilika hili.....sema ipo mbali tu ingekuwa dar ningekkutafuta mkuu
How about its spare parts availability and affordability?
Mkuu, dar ni nyumbani, tukielewana naidrive to dar bila shaka. Jambo la msingi ni wewe kuipenda gari, maelezo niliyotoa ni hakika, picha unazo ona ni taswira halisi ya gari (utakapo liona). Ungekuwa na mtu huku wa kukuaminisha angefanya hivo, kisha unanilipa nusu, nakuja mwenyewe kwa mafuta yangu kukuletea.
Mkuu ikifika dar odometer itakuwa inasoma kama hapo kwenye picha au?
Nimeangalia vizuri ila cjaona bei hapo
Duh! Wasiponunuwa basi tena.
Mkuu ikifika dar odometer itakuwa inasoma kama hapo kwenye picha au?
Ni Mitsubishi Lancer (sport generation car)
- CC 1597
- mwaka wa kutengeneza: 1999
- Awali ilitumika na Kampuni, kusajiliwa kwanza ni 2007
- Consumption 1litre/13-14 km
- Blue colour
- Vibali: Motorvehicle license Feb/2015, Bima June/2015.
- Inatembea
- Milage; 149,505 km
- Plate no AQT
- Ipo Mbeya mjini.
- Marekebisho ni madogo sana (si lazima-hayana athari)
- Umiliki ni halali, wala sio dalali.
- Sababu ya kuuza: Nahitaji kuimarisha mipango ya kibiashara.
- Unaweza kutumia kwa matumizi ya kawaida au hata kibiashara (mafuta inatumia vema)
- Muundo wa injini yake kiufundi unaruhusu replacement ya engine full za Toyota; 4E AU 5A au 7A(engine, gearbox, distributor, nk) HAINA maana kwamba ingine iliyopo ni mbovu au mbaya ila wengine huwa na mapenzi na Injini fulani.
- Wasiliana tuongee; 0652 656565
Nimeangalia vizuri ila cjaona bei hapo
Mkuu nipo Dodoma tunafanyaje hapo