Majid Mnana Member Joined Jan 19, 2015 Posts 19 Reaction score 2 Feb 28, 2015 Thread starter #21 Bei inapungua kaka. uiogope. sina ujenzi
mwandiga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,506 Reaction score 664 Feb 28, 2015 #22 Majid Mnana said: Noah Toleo la kwanza utapata kwa miliono 11.1 Click to expand... Hii ni milioni tisa tu hadi unaipata tena safi kabisa. Wavivu wa kuagiza ndio wanatakiwa walipe hiyo 11. Bisha nikupe vielelezo
Majid Mnana said: Noah Toleo la kwanza utapata kwa miliono 11.1 Click to expand... Hii ni milioni tisa tu hadi unaipata tena safi kabisa. Wavivu wa kuagiza ndio wanatakiwa walipe hiyo 11. Bisha nikupe vielelezo
Naibili JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 1,878 Reaction score 1,060 Feb 28, 2015 #23 Nami nnauza Nissan Note CWJ mil 7 tu....ni pm kama uko interested Attachments 1425134421378.jpg 86.6 KB · Views: 200
SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Mar 2, 2015 #24 Majid Mnana said: Mimi sina Benz nyeusi C class. Niliyonayo ni Benzi Nyeusi A class. Ngoja niangalie kwa kuagiza kutoka nje itafika kwa sh ngapi? Click to expand... ukifahamu gharama nifahamishe namimi mkuu
Majid Mnana said: Mimi sina Benz nyeusi C class. Niliyonayo ni Benzi Nyeusi A class. Ngoja niangalie kwa kuagiza kutoka nje itafika kwa sh ngapi? Click to expand... ukifahamu gharama nifahamishe namimi mkuu
S STERING Member Joined Feb 19, 2015 Posts 14 Reaction score 2 Mar 2, 2015 #25 Toyata IST unaniagizia kwa ngapi?