KingdomJr360 Member Joined Jul 18, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Jul 18, 2017 #1 Gari hii inauzwa kwa maelezo zaidi nifuate inbox,najua kuna kejeli ila nitazivumilia tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Gari hii inauzwa kwa maelezo zaidi nifuate inbox,najua kuna kejeli ila nitazivumilia tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,346 Reaction score 26,143 Jul 18, 2017 #2 Weka mambo wazi hapa Mkuu kama bei, inapopatikana na kadhalika. PM si mahala pake. Ungetaka PM basi na hili tangazo na picha zake ungetumiana huko.
Weka mambo wazi hapa Mkuu kama bei, inapopatikana na kadhalika. PM si mahala pake. Ungetaka PM basi na hili tangazo na picha zake ungetumiana huko.
KingdomJr360 Member Joined Jul 18, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Jul 18, 2017 Thread starter #3 Petro E. Mselewa said: Weka mambo wazi hapa Mkuu kama bei, inapopatikana na kadhalika. PM si mahala pake. Ungetaka PM basi na hili tangazo na picha zake ungetumiana huko. Click to expand... Sawa mkuu nimekuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
Petro E. Mselewa said: Weka mambo wazi hapa Mkuu kama bei, inapopatikana na kadhalika. PM si mahala pake. Ungetaka PM basi na hili tangazo na picha zake ungetumiana huko. Click to expand... Sawa mkuu nimekuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
KingdomJr360 Member Joined Jul 18, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Jul 18, 2017 Thread starter #4 Petro E. Mselewa said: Weka mambo wazi hapa Mkuu kama bei, inapopatikana na kadhalika. PM si mahala pake. Ungetaka PM basi na hili tangazo na picha zake ungetumiana huko. Click to expand... Mkuu gari inaenda kwa 50milion maelezo zaidi 0788999478,0714999478 Sent using Jamii Forums mobile app
Petro E. Mselewa said: Weka mambo wazi hapa Mkuu kama bei, inapopatikana na kadhalika. PM si mahala pake. Ungetaka PM basi na hili tangazo na picha zake ungetumiana huko. Click to expand... Mkuu gari inaenda kwa 50milion maelezo zaidi 0788999478,0714999478 Sent using Jamii Forums mobile app
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,346 Reaction score 26,143 Jul 18, 2017 #5 KingdomJr360 said: Mkuu gari inaenda kwa 50milion maelezo zaidi 0788999478,0714999478 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umeeleweka Mkuu
KingdomJr360 said: Mkuu gari inaenda kwa 50milion maelezo zaidi 0788999478,0714999478 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umeeleweka Mkuu
Eternal_Life JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 812 Reaction score 1,675 Jul 18, 2017 #6 Mkuu angalia TRA wasije kudai kodi in advance maana hawasomeki.Wakisikia 50M mate yanawadondoka .
KingdomJr360 Member Joined Jul 18, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Jul 18, 2017 Thread starter #7 Eternal_Life said: Mkuu angalia TRA wasije kudai kodi in advance maana hawasomeki.Wakisikia 50M mate yanawadondoka . Click to expand... Hahahahahaaaaaaa sawa mkuu,asante kwa kunitahadharisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Eternal_Life said: Mkuu angalia TRA wasije kudai kodi in advance maana hawasomeki.Wakisikia 50M mate yanawadondoka . Click to expand... Hahahahahaaaaaaa sawa mkuu,asante kwa kunitahadharisha. Sent using Jamii Forums mobile app