jangala JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,583 Reaction score 2,383 Sep 19, 2016 Thread starter #41 RRONDO said: Kuna bei ukiweka mtu anaogopa hata kuanza mazungumzo. Click to expand... Kumbuka wimbo wa Mr Ebbo Kamongo.
RRONDO said: Kuna bei ukiweka mtu anaogopa hata kuanza mazungumzo. Click to expand... Kumbuka wimbo wa Mr Ebbo Kamongo.
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,921 Sep 19, 2016 #42 mshana jr said: Za mnada hulipi zaidi ya plate number Click to expand... Vipi kuhusiana na chance ya kushiriki huo mnada ni ngumu sana au
mshana jr said: Za mnada hulipi zaidi ya plate number Click to expand... Vipi kuhusiana na chance ya kushiriki huo mnada ni ngumu sana au
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,733 Reaction score 14,157 Sep 19, 2016 #43 mshana jr said: Sipati faida yoyote kwenye huo upotoshaji tembelea minada ya TRA pale W9 utajuaView attachment 402679View attachment 402680View attachment 402681kitu hiyo haifiki mwekundu pale pamoja na registration Click to expand... MInada inafanyikaga wakti gani?
mshana jr said: Sipati faida yoyote kwenye huo upotoshaji tembelea minada ya TRA pale W9 utajuaView attachment 402679View attachment 402680View attachment 402681kitu hiyo haifiki mwekundu pale pamoja na registration Click to expand... MInada inafanyikaga wakti gani?
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,881 Reaction score 129,910 Sep 19, 2016 #44 Lyamber said: Vipi kuhusiana na chance ya kushiriki huo mnada ni ngumu sana au Click to expand... Kama hauko kwenye cartel hununui gari kwenye huo mnada. Nishajaribu nikaona ujinga tu. Magari mengine yanapandishwa bei kuliko mtaani.
Lyamber said: Vipi kuhusiana na chance ya kushiriki huo mnada ni ngumu sana au Click to expand... Kama hauko kwenye cartel hununui gari kwenye huo mnada. Nishajaribu nikaona ujinga tu. Magari mengine yanapandishwa bei kuliko mtaani.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,174 Sep 19, 2016 #45 mshana jr said: jangala hiyo bei ndugu yangu mmh! Ujue hapo bandarini zipo m6 tu Click to expand... wakuu mnaweza fafanua kidogo kuhusiana na bei. Mangimeli said: Mkuu bandarini mpaka 5.8 Click to expand...
mshana jr said: jangala hiyo bei ndugu yangu mmh! Ujue hapo bandarini zipo m6 tu Click to expand... wakuu mnaweza fafanua kidogo kuhusiana na bei. Mangimeli said: Mkuu bandarini mpaka 5.8 Click to expand...