Nimeona comments za wengi humu ndani ziemea kwa namba. Hicho sio kigezo cha ubora wa gari. Kuna gari za wahindi pale Upanga na Oysterbay ni namba A ila hata Kibaha maili moja hazijafika. Ila pia kuna gari utapata ni DLN ila zimeburutwa kona zote za Tz. na Mileage imesoma kuliko hizo A. Mimi gari huwa naamini katika ubora wake/uzima then namba zifuate.
So if can't say something nice then at least be silent.