Yes I biliv kwa kusambaza ujumbe huu mungu atakulipa kwa wema! Ila kwa atakae piga simu na kutusaidia kulipata basi zawadi kwake itakuwepo.MUNGU atalipa?
Lilikua parking nje ya nyumbaLilikua wap
Asante kwa ushauri wako mkuu, taarifa tayari tumeshatoaWahi kuripoti Polisi ndugu,patrol maeneo yote wataarifiwa,na punde utaipata Dampa lako.Pole kwa usumbufu utakao upata
Amina, nashukuru ndugumungu akusaidie ipatikane kaka..
Umejuaje kuwa bado jipya?Duh asee bado jipya kabisa afu mtu wako wa karibu ndo alie kuibia trust me
Plate nmba inajionesha tuuu mkuuUmejuaje kuwa bado jipya?
mwisho wa mwakaKulikoni wezi wa magari maan huu wizi sas naona unashamiri