Gari bomba kabisa inauzwa

Gari bomba kabisa inauzwa

kafuro

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Ni Mitsubishi Lancer Cedia, cc1460 millege 68000km, year 2000 nimeagiza mwenyewe toka japani mwezi wa tatu 2013.
ina vibariri vyote pamoja na bima kubwa inayoishia Mar 2014. nimeamua kuuza nifanye mambo mengine. walio serious wanipigie kwenye namber hii. 0767458197. nimeweka picha ili uangalie BEI TSH 9500000 shukrani
 
Attachments

  • IMG00031.jpg
    IMG00031.jpg
    135.5 KB · Views: 303
  • IMG00032.jpg
    IMG00032.jpg
    124.5 KB · Views: 274
  • IMG00033.jpg
    IMG00033.jpg
    142.4 KB · Views: 226
  • IMG00034.jpg
    IMG00034.jpg
    145.3 KB · Views: 213
  • IMG00035.jpg
    IMG00035.jpg
    145.8 KB · Views: 203
  • IMG00036.jpg
    IMG00036.jpg
    140.4 KB · Views: 190
  • IMG00037.jpg
    IMG00037.jpg
    106.1 KB · Views: 180
  • IMG00038.jpg
    IMG00038.jpg
    158.6 KB · Views: 165
  • IMG00039.jpg
    IMG00039.jpg
    122.3 KB · Views: 168
  • IMG00040.jpg
    IMG00040.jpg
    100.6 KB · Views: 178
Kila la kheir,
lakini ukifanikiwa kuliuza usije siku nyingine ukanunu gari aina hiyo.
Pendelea sana Toyota kwa nchi zetu hizi na mazingira yetu.

The jaribu kuangalia Bei hiyo,ni ghali sana kaka kwa aina ya Salon,maana inakaribia Toyota GX 110/115 ambayo ni kali kuliko hiyo.

Samahani,sio kwambanauwa,ila ukweli acha uendelee kuwa ukweli.

Nawasilisha
 
Mkuu hiyo sio gari ya kuuza kwa iyo bei...majembe auction,vijana wa kazi. pale mwenge wanazo rav 4 nzima kabisa M7...kila la kheri
 
Ni Mitsubishi Lancer Cedia, cc1460 millege 68000km, year 2000 nimeagiza mwenyewe toka japani mwezi wa tatu 2013.
ina vibariri vyote pamoja na bima kubwa inayoishia Mar 2014. nimeamua kuuza nifanye mambo mengine. walio serious wanipigie kwenye namber hii. 0767458197. nimeweka picha ili uangalie BEI TSH 9500000 shukrani

Siku nyingine tulia kidogo kabla hujapost na kama kuna shughuli unafanya malizia kwanza, Jukwaa lipo tu mkuu.
 
Mkuu hiyo sio gari ya kuuza kwa iyo bei...majembe auction,vijana wa kazi. pale mwenge wanazo rav 4 nzima kabisa M7...kila la kheri

Mkuu, hizo rav 4 una details zaidi?
 
Ni Mitsubishi Lancer Cedia, cc1460 millege 68000km, year 2000 nimeagiza mwenyewe toka japani mwezi wa tatu 2013.
ina vibariri vyote pamoja na bima kubwa inayoishia Mar 2014. nimeamua kuuza nifanye mambo mengine. walio serious wanipigie kwenye namber hii. 0767458197. nimeweka picha ili uangalie BEI TSH 9500000 shukrani
Ulidanganyika na body ukaoda sasa iendeshe mwenyewe!!Hizo gari mkataba nikama ndoa ya kikiristo
 
Mkuu, hizo rav 4 una details zaidi?
Latest ninayojua ni walionyang'anywa wachina na TRA pale kariakoo..iko vizuri milango 5...kwanini usiende tu mwenyewe pale mwenge...tafuta muda..ukaone.very resonable prices.
 
Ahsante mkuu
 
kuuza kitu JF kazi sana masikhara mengi jitu linaweza hata ku-negotiate alafu humuoni tena ivi ni sheria gani inayosema gari ambayo si toyota haiuziki?
 
Back
Top Bottom