gari la zamani bei mpya.nauza gari ya rav4 l, imetengenezwa mwaka 2000, rangiyake ni nyeusi.
Iko katika hali nzuri na imekua ikiendeshwa na mwanamke
bei yake million 11.
sababu ya kuuza:
Ninanunua gari nyingine , sitaweza kutumia garimbili .
gari hii iko kwenye hali nzuri na unakaribishwa kuja na fundi wakoaiangalie.
Wasiliana na: 0713 68 96 65
Mkuu ikiendeshwa na mwanamke huwa inapaa haigusi chini?(kidding)
gari iko poa sema bei yako kubwa sana.
Mkuu ikiendeshwa na mwanamke huwa inapaa haigusi chini?(kidding)
gari iko poa sema bei yako kubwa sana.
Na pia mnunuzi mwanamke auziwe bei ya kike mil6[/QUOTE
if you don't have money shut up , :busuThe price is right Keep on using daladala
gari la zamani bei mpya.
if you don't have money shut up , :busuThe price is right Keep on using daladala
AZM unauza mil 11?? Baadae sana!
nauza gari ya rav4 l, imetengenezwa mwaka 2000, rangiyake ni nyeusi.
Iko katika hali nzuri na imekua ikiendeshwa na mwanamke
bei yake million 11.
sababu ya kuuza:
Ninanunua gari nyingine , sitaweza kutumia garimbili .
gari hii iko kwenye hali nzuri na unakaribishwa kuja na fundi wakoaiangalie.
Wasiliana na: 0713 68 96 65
Na pia mnunuzi mwanamke auziwe bei ya kike mil6[/QUOTE
if you don't have money shut up , :busuThe price is right Keep on using daladala
hatuongeagi hivyo na wateja kaka, hiyo bei ni kweli iko juu kidogo ukilinganisha na gari yenyewe, sisemi kwamba hauwezi kuuza, unaweza kuuza kwa watu wasiofahamu, take it from the dealer!
Dada samahani kama nitakukwaza ila ukiwa ukotayari kuchukua 7mil nitafute kwa biashara.
Ha ha ha haya mambo ya user mwanamke yameanza hadi kwenye simu