Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,elimu kidato cha 4 na nimepitia mafunzo ya udereva na kuhitimu.
kutokana na wimbi la ajira niliamua kuzunguka shule kadhaa kwa lengo la kutafuta ajira na ndipo nilipopata fursa ya baadhi ya shule kuhitaji gari ya kukodisha kwa ajili ya wanafunzi.
kwa mwenye gari aina ya noah iliyo nzima tunaweza saidiana kwa hili na tukafanya makubaliano na kufanya kazi kwa uaminifu zaidi.
Habari wanajukwaa, Fursa natafuta dereva mwenye uzoefu wa kutosha nina gari aina ya Noah aje nimpe aniletee hesabu kwa siku 40,000. Au kama una hotel, shule, kampuni wanaohitaji gari aina ya Noah njoo tuongee. Mawasiliano: 0764888544 or 0714808918