Gari aina ya IST inauzwa

Mukwano jebaleko

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
402
Reaction score
214
Usajili:C
Imetembea:km21700
Hakuna inachodaiwa
Bei:8.3m
Maelewano yapo

Mawasiliano:0758027575
 

Attachments

  • 1440500825518.jpg
    58.7 KB · Views: 589
  • 1440500861352.jpg
    97.8 KB · Views: 551
  • 1440500928651.jpg
    59.2 KB · Views: 616
Kama iko okay nina 7m cash sasa hivi nambie uko wapi nije tumalize biashara. Lazima vibali na insurance viwe kamili.
 
Umeweka namba unapigiwa hupatikani. Nina 8.05M, nipm tuongee
 
Ehee Mungu wa maagano makuuu, Mungu uliyezitanda mbingu na nchi..nibariki na mimi mwanao niwe wa kwanza kumiliki Gari kwenye ukoo wetu.

Hallelujah, Amen!!
 
Waungwana nimefikisha milioni mbili, kama kuna mdhamini tafadhali aje kurescue nivunje rekodi hii ya ukoo punde.
 
Mkuu kwa hizo namba na hiyo mileage ina maana umeinunua ikiwa na km 10,000 au ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…