Gari aina ya IPSUM inauzwa m7

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Niko mwanza nauza IPSUM namba "B" milioni 7 tu
Please hii ni Kwa wale wahitaji tu
Tuwasiliane Kwa 0788752672
ATTACH]190372[/ATTACH]
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1412415395.330618.jpg
    88.1 KB · Views: 312
Muuzaji ni kichaa....ukifika mwanza unaweza kukuta ana vokwageni..
 
Duh jamani JF Kuna typing error naombeni mnisamehe kwani magari ninayo mengi naombeni msamaha sana ni Ipsum na sio spacio nisameheni jamani
 
kanjanja huyo. wauza samaki wa igogo ni shiiida

Some will appreciate and some will hate, but since u have it keep praying and move forward.
Naombeni mnisamehe sana, nahitaji sana support Kutoka kwenu Biashara yangu bila nyie ni Kazi bure.karibuni sana
 
Mkuu weka gari nyingne ulizonazo ili tuweze kuvutiwa na biashara yako
 
Hii apa corolla 'one eleven' nahitaji milioni tano tu Kama utaipenda nichek Kwa 0788752672
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…