Gari aina ya cresta inauzwa

Gari aina ya cresta inauzwa

muddyulada

Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Gari aina ya cresta inauzwa kwa picha na mawasiliano zaidi piga simu namba +255712595871
 
weka picha na maelezo muhimu hapa achana na mambo ya simu.
 
msameheni kajiunga jf hivi karibuni.
Natumai atarekebisha maelezo yake.
Ajue kwamba kupiga sim ni kuongezea wenzie umaskini,zikipigwa simu elfu moja tu tayari katia watu hasara wakati anaweza kuweka maelezo ya kujitosheleza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom