gari aina ya alteeza inauzwa.

noweezy

Senior Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
103
Reaction score
93
wadau nauza gari bei ya kawaida kabisa kwa anaetaka tuwasiliane 0762706834.
 
Mbona bei hujaweka? Au wewe ni dalali tu na unataka kuweka cha juu? Kwanini ufiche bei kama vile unauza mihadarati?
 
Hahahaha....Alteza Mil 14! Maajabu haya. Tena unauza bei hiyo humu JF!? Kweli umepotea.

Kwa ushauri tu: Alteza sokoni zimesimama Mil 6 - 9 kutegemea na hali ya gari.
 
Nenda Tradecarview.com na huko utapata bei halisi then jumlisha gharama za kuitoa Dar port + TRA, ila sio mbaya bei ni mgharaba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…