unamatatizo wewe gari gani hapo ya kuuza 30 ml?
Mkuu kwahiyo ukiingia cha kike sana sana umelipa kiasi gani?unamatatizo wewe gari gani hapo ya kuuza 30 ml?
Wewe kwa utaalamu wako hii gari thamani yake ni sh ngapi ,unamatatizo wewe gari gani hapo ya kuuza 30 ml?
Mkuu ukiuza hiyo gari kwa bei hiyo naacha kuipenda ccmCanter 3.5tan,ingine 334dView attachment 390232