...Gamondi alifanya homework yake vizuri, alipokuwa anatembelea mechi za Simba alionekana kama popoma flani hivi...Wakati mtaalamu wa kutoka Argentina akienda pale Lupaso kuwaangalia Simba katika mechi zao wengi hasa mashabiki wa Simba walimwona mjinga kumbe mtaalamu anafanya kazi zake kama Mosads alikua anatafuta siri na file zito la Simba hakika bila shaka alipata mafile yote Intellijensia yake ilifanya powa.
Sio ajabu kumsikia yule msemaji wa Simba mswahili Ahmed Ally akija na maneno yake "Gamondi akaribishwa mazoezi ya Simba Bunju" yes natumai wamepata mrejesho kwamba mtaalamu wa Argentina alikua anatafuta nini.
Yanga imeamua kutoka kwenye Uswahili na kuwezekeza kwenye Soka wenzetu bado wamekalia uswahili baada ya kumuotea Nabi wakajua washaifamu Yanga kumbe Gamondi kaja na Code tofauti kabisa.
Vipi mashabiki wa Simba bado mnakaribisha Gamondi Bunju? naomba mnijibu bila paniki
...Gamondi alifanya homework yake vizuri, alipokuwa anatembelea machine za Simba alionekana kama popoma flani hivi...
Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]
Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
Hapana kaka.Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]
Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
Afadhal walitusaidia hana chochote..Kupanga ni kuchagua yule kiungo wao waliyemwiba airport kama hayupo leo
Hapana kaka.
Baada ya Goli la pili lilikuja kama suprise hawakuwa na jinsi zaidi ya kupishana mkuu.
PaKiMax wakiachiwa space ya kukimbia na mpira ni Hatari sana. Bahati nzuri wao wana chemistry nzuri ya One-Two while moving.
Pole sana mrembo najua usiku ushakua mrefu sana..Kachafua hali ya hewa....
Barbara si alikuwa Kwenye inner circle ya simba pengine amezoea na Kutegemea yale mambo Yao .Hadi Barbra na professional yake alipost eti kisa mvua imepigwa + jumapili basi makolo watashinda[emoji23][emoji23]
Walichokosea makolo ni kuruhusu mchezo wa kupishana na viungo wa Yanga
Ndo kimempata kitu kizito[emoji23][emoji23]Barbara si alikuwa Kwenye inner circle ya simba pengine amezoea na Kutegemea yale mambo Yao .