Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,889
- 2,216
Records, bt wameshanipigia simu mkuu.
Hongera sana
Duuu knee mupo wadau
Kwani muliambiwa baada ya muda gani?
Sent from my XT1650 using JamiiForums mobile app
Tupo,walisema ndani ya mwezi mmoja.So bado wiki mbili.
Mkuu BP itakumaliza..Dah, mtu ukikaa na hujui kinachoendelea unaweza kupata blood pressure bure aisee
Hao c ndo wanasajil kampun za kubet bc wanawabetisha hapo bila nyny kujuaKuna interview ilofanyika tarehe 26 mwezi wa 4 pale DUCE.Hawa Jamaa wakaahidi kutoa majibu hapa karibuni Ila hawajafanya hivo mpaka Leo.
Ni vema wangetoa matokeo mapema maana kuna watu tumetoka mikoa ya mbali na hatujarudi bado tukitegemea tumalizane nao kisha ndo turudi Ila tuokoe gharama.
Interview nyingi nlizowahi kuhudhuria hazikuwahi kuwa hivi,interval ya written na oral haizidi wiki 2 Ila nyie mpaka mnatupa Mashaka tuhisi kuwa mmeendesha interview kutimiza tu formality.
Kama wahusika mnaliona lifanyieni kazi.Ahsanteni.
Hao c ndo wanasajil kampun za kubet bc wanawabetisha hapo bila nyny kujua