GAMING BOARD TOENI MATOKEO YA WRITTEN INTERVIEW ILOFANYIKA TAREHE 26/4/2019

Kwa waleo tuliofanya interview ya oral,msiache kuleta mrejesho kama mkipigiwa simu ili tujue kama tumapata au la.
 
Kuna interview ilofanyika tarehe 26 mwezi wa 4 pale DUCE.Hawa Jamaa wakaahidi kutoa majibu hapa karibuni Ila hawajafanya hivo mpaka Leo.

Ni vema wangetoa matokeo mapema maana kuna watu tumetoka mikoa ya mbali na hatujarudi bado tukitegemea tumalizane nao kisha ndo turudi Ila tuokoe gharama.

Interview nyingi nlizowahi kuhudhuria hazikuwahi kuwa hivi,interval ya written na oral haizidi wiki 2 Ila nyie mpaka mnatupa Mashaka tuhisi kuwa mmeendesha interview kutimiza tu formality.

Kama wahusika mnaliona lifanyieni kazi.Ahsanteni.
Hao c ndo wanasajil kampun za kubet bc wanawabetisha hapo bila nyny kujua
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom