ninalo call of duty, fanya mchakato!Wadau naomba kufahamishwa website ambazo naweza kupata game nzuri za action zenye memory ndogo,ziwe ni game zenye risasi nyingi na main character awe anaweza kutembea,kushoot na kufanya mambo mengine mengine asiwe mfuksa tu...Nipewe website au mtu aniuzie tu kwa makubaliano ya kunitumia Game kwa email ikiplay kwenye pc yangu nampa chake kulingana na makubaliano...mfano game kama ya IGI covert strike....ukiniambia una game flani nai google nakwambia kama nimeipenda au hapana.NB:wizi sina na PM RUKSA..
hii tabia ya kujuana mpaka huku si nzuri. Twende tukaroge basiwe cand crush tamuuuuMwanga mkubwa wewe,cheza mwenyewe....
We jamaa sasa ndo nilikuwa nakuhitajiiii ...google haya utalopenda nambie
- far cry
- call of duty: modern warfare
- call of duty: black ops
- battlefield
- splinter cell
- batman: arkham
- The order 1886
- mission impossible
Dah hebu google hayo kwanza maana ni G aftr G utanivuruga mida ya kazi hii!!..
Dah zote mashine mzeeegoogle haya utalopenda nambie
- far cry
- call of duty: modern warfare
- call of duty: black ops
- battlefield
- splinter cell
- batman: arkham
- The order 1886
- mission impossible
Dah hebu google hayo kwanza maana ni G aftr G utanivuruga mida ya kazi hii!!..
You have seen none son!!...Kuna games kapc kangu mpaka kanachemka ziplay nakua mpenz mtazamaji!..Dah zote mashine mzeee
Dah yaani bro mi mdhaifu sana wa game aisee....kama mtoto nkishafanya mambo yangu yakakaa sawa uwaga nakimbilia kwenye game za mission kupoteza mda..You have seen none son!!...Kuna games kapc kangu mpaka kanachemka ziplay nakua mpenz mtazamaji!..
Kawaida aseh kuna sometimes hutumii pombe au kutoka hupendi inabid upate kitu cha kukurelax!...Dah yaani bro mi mdhaifu sana wa game aisee....kama mtoto nkishafanya mambo yangu yakakaa sawa uwaga nakimbilia kwenye game za mission kupoteza mda..
Sawa, halafu wanga tunavojuana hadi kuitan nyau. Basi sawa mbwa,niliport na mimi niku report. Kacheze temple run huko. Kusumbua watu tuGame za kike kike hizo mi mwanaume na cheza game za mission tu...nyau wewe nakureport wakupe ban umenidhalilisha
Kane And Lynch Dead Man Free DownloadWadau naomba kufahamishwa website ambazo naweza kupata game nzuri za action zenye memory ndogo,ziwe ni game zenye risasi nyingi na main character awe anaweza kutembea,kushoot na kufanya mambo mengine mengine asiwe mfuksa tu...Nipewe website au mtu aniuzie tu kwa makubaliano ya kunitumia Game kwa email ikiplay kwenye pc yangu nampa chake kulingana na makubaliano...mfano game kama ya IGI covert strike....ukiniambia una game flani nai google nakwambia kama nimeipenda au hapana.NB:wizi sina na PM RUKSA..