Unamuita kidume mwenzako Dada?mbona unadharau sana au hiyo laki6 imekupa kiburi.Kaka una ujasiri wa ajabu wewe...750k kwa tablet hiyo????!!!!!..
Kivipi,funguka Mkuu.Yuko sahihi.....kaijibu picha.
Kwanza hiyo picha ni ya mtoto wa kike na umri wake hapo ni mdogo kiasi cha kuwa humu,may be ni mwanao kwa hiyo hapo kuna mtihani inaweza kuwa wewe ni Baba yake.We umejuaje kama mi ni kidume wakati unaona picha ya kidemu?
Absolutely,but nimekushinda kwenye kigezo chako cha picha.Lakini naweza kuwa mama yake pia..