Galaxy Note5 nauza

Galaxy Note5 nauza

Kuuliza sio ujinga,kwani ulivynunua,sijui kuhongwa au kupewa hukujua kuwa hiyo device ina line MOJA?

5.7 ins. QHD SuperAMOLED screen
32GB storage
4GB RAM
16MP main camera
5MP front camera
price TShs. 1,100,000
used 2 months. in excellent condition. box and original contents zipo. nauza kupata simu yenye line mbili.

call 0778912913
 
Emilias niliponunua hii simu nilikuwa na namba yangu binafsi. recently nimepewa namba ya kikazi. sitaki kuachana na namba yangu bunafsi na sitaki kutembea na simu mbili. hope utaelewa.
 
Last edited by a moderator:
Umesomeka mkuu,ngoja niangalie kama kuna zinazobaki baada ya hizi sikukuu mbeleni!!!

Emilias niliponunua hii simu nilikuwa na namba yangu binafsi. recently nimepewa namba ya kikazi. sitaki kuachana na namba yangu bunafsi na sitaki kutembea na simu mbili. hope utaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom