edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
umefutwa ule uziKuna uzi flan wa matatizo ya Android kuna ma experts kule nadhan wanaweza kukupa msaada
Dah sh ngpNiuzie mimi
Weka bei yako tunaweza tukapandaDah sh ngp
natumia betri la removable or non_removable ? jibu kuanzia hp je simu yako ishadondoka chini au unachaji huku unaotumia au betri lake lina muda mrefu ?Hi.Naomba kuuliza sim twaja hapo juu imkua na ttizo la kupata moto sana na inpofkia asilima 70 za betri huwa ina zima ghfla,na baad y dakka nkiwasha ndo inawaka.yan kimcng inazima zima sana.Saidia plse...the problem and soln
Yan kesi ni betri au AC but cjajua mnkenaona hata meno ya betri yamelika fln ivi..betr imechoka nanahc ina mda mrefu cooz nlnunua mdanatumia betri la removable or non_removable ? jibu kuanzia hp je simu yako ishadondoka chini au unachaji huku unaotumia au betri lake lina muda mrefu ?
natumia betri la removable or non_removable ? jibu kuanzia hp je simu yako ishadondoka chini au unachaji huku unaotumia au betri lake lina muda mrefu ?
Hueleweki nakwambia inatumia betri la kutoa au siyo la kutoa ?Yan watu wengine wansema AC wengine betri mpka nachanganykiwa..
Huna ufundi lkn unaanza kuleta ujuzi wako ukiwa unasaidiwa eleza unachoambiwaYan kesi ni betri au AC but cjajua mnkenaona hata meno ya betri yamelika fln ivi..betr imechoka nanahc ina mda mrefu cooz nlnunua mda
Inatoka removbleHueleweki nakwambia inatumia betri la kutoa au siyo la kutoa ?
Ok.Huna ufundi lkn unaanza kuleta ujuzi wako ukiwa unasaidiwa eleza unachoambiwa
Sa siuende kwa fundiYan watu wengine wansema AC wengine betri mpka nachanganykiwa..
Ni bira nikusanye info kuhus ttzo il nkiend kwa fnd tujue tunaanzaje.n kushglkia ttzhusik mnk mfnd weng wa kuigizSa siuende kwa fundi
Tafuta betri ili kupata betri orgn tembelea vituo vya samsung service centre hapa Samsung Mobile - Customer CareInatoka removble
Aghh wewe ndio unaigiza mkuu, nenda kwa fundi wakueleweka aichungu yeye atakupa jibu sio uende na majibuNi bira nikusanye info kuhus ttzo il nkiend kwa fnd tujue tunaanzaje.n kushglkia ttzhusik mnk mfnd weng wa kuigiz