Galaxy NOTE 4 inauzwa

akili akili

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1,767
Reaction score
1,157
Nauza Samsung Galaxy Note Original mpya.
Ear phone.
Original S cover.
Original Samsung Power Bank.

Vyote kwa pamoja ni 1,000,000 tsh.

Mawasiliano karibuni PM.
 
Wakuu mnaogopa idadi ya sifuri nini, well kama mtu ana 950,000 |= anaweza kunicheki pm ASAP.
 
Pia External Hard disc zipo: Size 1TB~1000GB
Brand: Toshiba
Bei: 150,000
Status: MPYA
 
wasubiri waheshimiwa wanakuja huko wiki ijayo watainunua hata kwa Mil 1 na kuwapa vimada wao andaa mzigo wa kutosha
 
Nauza Samsung Galaxy Note Original mpya.
Ear phone.
Original S cover.
Original Samsung Power Bank.

Vyote kwa pamoja ni 1,000,000 tsh.

Mawasiliano karibuni PM.

Kwa standard za afya za ulimwenguni wanashauri Ear Phone sio salama kuwa resale. Akitumia mtu mmoja asimpe mwingine.
 
Nahitaji External hard disc 1TB (1000GB), brand ya Transcend budget yangu ni 80,000/=.
 
Nahitaji External hard disc 1TB (1000GB), brand ya Transcend budget yangu ni 80,000/=.

Mkuu ninazo toshiba....mpyaaaaaaaa 1TB 150,000. Ila kama umepungukiwa kidogo naweza kukupa kwa 140,000 ....
 
Dah hali ni tete mkuu, kama vp nitajikamua mpaka 100,000/= kwa hio external hard disc..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…