Galaxy Note 1 Mpya Inauzwa

Galaxy Note 1 Mpya Inauzwa

Dean

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
636
Reaction score
245
Nauza simu tajwa hapo juu kwa anayehitaji anipm
 
Hebu weka picha,mbuzi kwenye gunia imepitwa na wakati!
 
Ni mpya ndio nimeletewa note 1 badala note 2 nataka nkabadilishe
 
yaani ukiweza kufuata taratibu jf ni bonge la soko ila ukianza habari za kuwa descriptive na tantalila nyingi utazinguliwa hadi basi.
Ni taratibu zipi basi? weka picha halisi ya bidhaa, specs ukiweka si mbaya itasaidia kuvuta watu, bei kuwa muwazi if possible state hata kwenye heading.
mie niliuza Sony Xperia Z withini hours kwa kufuata hizo procedure na uzi wangu hata haukuwa na chembe ya mzinguo.
Nb. huoni ushauri tu wa bure.
 
kweli ukiona mtu anasuasua kuweka details, basi hana uhakika na biashara yake....
 
kweli ukiona mtu anasuasua kuweka details, basi hana uhakika na biashara yake....[/QUOTE
Details gan unazohitaj wakat nshaandika aina ya simu?kwan umeshindwa kugoogle
 
yaani ukiweza kufuata taratibu jf ni bonge la soko ila ukianza habari za kuwa descriptive na tantalila nyingi utazinguliwa hadi basi.
Ni taratibu zipi basi? weka picha halisi ya bidhaa, specs ukiweka si mbaya itasaidia kuvuta watu, bei kuwa muwazi if possible state hata kwenye heading.
mie niliuza Sony Xperia Z withini hours kwa kufuata hizo procedure na uzi wangu hata haukuwa na chembe ya mzinguo.
Nb. huoni ushauri tu wa bure.

Poa nmekuelewa,Nashukuru
 
kweli ukiona mtu anasuasua kuweka details, basi hana uhakika na biashara yake....[/QUOTE
Details gan unazohitaj wakat nshaandika aina ya simu?kwan umeshindwa kugoogle

kwani jina na model inatosha??

Hata ukisema ni Mpya bado tuu Real Image ni muhimu. kwani hujui hata Rangi yake ni muhimu? au unataka kuniuzia simu ya Pink?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom