Tatizo shule tu hapa. Kuna mwanafalsafa anaitwa Paul Freire anawataja watu hawa kama watu wenye uelewa huu "Magic Consciousness" Maana yake kwamba, uelewa mdogo, hawajui haki zao, hawajui kuzidai na hata pale haki zao zinapotolewa, wanadhani ni kudra za Mwenyezi Mungu tu, au Huruma na Hisani ya aliyetoa. Hawajui kuwa ni kodi zao na kimsingi hiyo haki yao imechelewa sana.