salamu wakuu,
mimi huwa nafurahishwa sana na teknolojia na vifaa mbalimbali. jukwaa hili limenisaidia nikajua mengi pamoja na forum nyingine nyingi za nje pamoja na channel kadhaa za youtube ambazo huwa napitia karibu kila siku. kwa hivyo nimeona nianzishe blog ili niweze kushare mambo ambayo nakutana nayo kila siku hasa kwa upande wa simu. hii ni kutoakana pia na kuwa na muda wa kuweza kufanya kazi hiyo, hivyo na ushauri wenu pia waweza kunisaidia katika kuendeleza blog hii Gadget Newz Tz
shukrani