Hii ni salamu tosha kwa Riziwani, inampasa atambue kuwa kila jambo lina mwisho, sasa inategemea mwisho utakuwaje. Pia, inampasa atambue pia, hata sisi wananchi wengine tuna haki ya msingi ya kufaidi rasilima za nchi hii. Ila kila jambo lina mwisho...