hizo ni propaganda za nchi za kimagharibi ktk kuharibu uchumi wa nchi zenye mafuta ili wajifaidi wao.wameanza na libya,wanaenda syria,wanaharibu pia Nigeraia,angola nako walimweka savimbi nk, wameigawa sudani kuwa nchi 2 ili wawatumie wasudani kusini zaidi kuiba mafuta yao baada ya kuona jeuri ya RAIS WA SUDANI, MENGI SANA YATAIBUKA, ukiangalia saudi arabia wao ndio wanahodhi mafuta yao kwa kiasi kikubwa.hawa wenzetu hawa tuwaone hivi hivi tu. siii watu kabisaaaaa.