Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Basi tuanze na kimoja kimoja halafu kimyakimya kama wajinga vile kumbe tuna letu jamboHiyo nguvu wakishaiona tu unayo basi ndiyo ujue watachokufanyia ni kukupeleka kule tusikokupenda kwa namna yoyote sababu utakuwa umegusa maslahi yao 1 kwa 1 [emoji34]
kaz kushabikia Urusi kuvamia Ukraine , akili za kuona fursa utazitoa wap?Naam nguvu ya ziada inahitajika ili tuweze kujikwamua kisiasa,kiuchumi,kijeshi,kisayansi na teknolojia
Nalog off Z
Nitazitoa humo humo kwenye kichwa cha ushabiki wa Urusi au nikizikosa kabisa nitaazima za kwako.kaz kushabikia Urusi kuvamia Ukraine , akili za kuona fursa utazitoa wap?
aiseee, Google katika computer chuo kiitwacho andlopov college kilichopo Urusi.. halafu chunguza syllabas zake . hakika utaichukia urusi mpaka kufa! sasa unataka zirudi? basi acha kumshabikia MrusiNitazitoa humo humo kwenye kichwa cha ushabiki wa Urusi au nikizikosa kabisa nitaazima za kwako.
Nalog off Z
Km alivyofanya putinBasi tuanze na kimoja kimoja halafu kimyakimya kama wajinga vile kumbe tuna letu jambo
Nalog off Z
aiseee, Google katika computer chuo kiitwacho andlopov college kilichopo Urusi.. halafu chunguza syllabas zake . hakika utaichukia urusi mpaka kufa! sasa unataka zirudi? basi acha kumshabikia Mrusi
Kwa nini mkuu mbona china ameanza muda mradi wake Kama ambavyo unaona hapo kwenye ramani mchina ameanza tokea 2013 G-7 ndio kwanza wamewekeza pesa 2022China hawezi kutoboa. kawamwaga masikini wake (proretaliants} africa ili pesa zake awekeze kwenye miradi. G7 atamtoa nje ya uwanja na duniania itarudi kwao tuu. heri mzungu aliyetujengea Pugu na tosamaganga secondari arudi kuliko mchina alieiba maji mto ruvu ili kumwagilia bustan yake atajilikie africa.
Mkuu nimejitahidi ou Google jina la andlopov college bila mafanikio,sasa sijui nakosea wapi!?aiseee, Google katika computer chuo kiitwacho andlopov college kilichopo Urusi.. halafu chunguza syllabas zake . hakika utaichukia urusi mpaka kufa! sasa unataka zirudi? basi acha kumshabikia Mrusi
Yes Mkuu ni kimyakimya mpaka jirani akijakushtuka itakuwa too late kwakeKm alivyofanya putin