Futurelearn

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,848
Reaction score
2,404
Nadhani wengi wetu tunatambua uwepo wa kozi nyingi za online ambazo zinakuwa zinatolewa bure.

Km una muda na bundle ya kuperuzi kozi huwa ni fupi. Kwa mfano sasa hivi ninaenjoy creative coding na sina background kwenye computer.

Nimesikiliza intro jamaa akawa anazungumza zamani msisitizo ulikuwa kwenye kingereza na Maths lakini coding sasa hivi ni muhim saana. Lakini kuna kozi nyingine nyingi kwa wale wanaotaka lecture za wahadhiri waliobobea.

Ingia futurelearn.com Utaenjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…