Halafu jambo lengine wanalo kosea mara kwa mara (mtazamo wangu), yaani ninavyoamini wao wapo Mwanza na wanarekodi michezo yao Mwanza hukox2, ila kitendo cha kutaja taja majina ya maeneo ya mji wa Dsm, mara kwa mara, ni kujiaibisha kwa kweli. Kwa nini wasitamke maeneo waliopo ili kulitangaza jiji la Mwanza? Mfano, Leo Okechi alipofungua kipindi, kasema yupo kigamboni, na nijuavyo mimi, Tanzania hii, kigamboni maarufu ipo Dsm tu. Haya wengine nao wakataja mbagala kwa azizi ally. Ni ULIMBUKENI kwa kweli.
Vipi Magufuli kuwa mgeni Rasmi Kagame Cup?
Kwani hali halisi ni ipi? Magufuli ni mtendaji mzuri hata kabla hajafika hapo alipo.Na hata sasa watumishi wengi ukiwasikia wakiwa kazini wanakwambia sasa hivi ni mchaka mchaka.So wale wako sawa wameakisi kinachofanyika kwenye jamii.
Hebu jiulize swali kuwa, walikuwa wapi kumsifu kabla ya kuchaguliwa kuwa mgombea? Inamaana hawakuona hapo mwanzo kama ni mtendaji? Acha uccm naufikili mara mbili.
Hahaaa km namuona Braza K alivyokuwa anahaha ofisin kisa magufuli. Bt kiuhalisia star tv mmiliki wake keshawah kuwa mbunge pitia ccm km aliamua ivyo wao km wafanyakaz nadhan walifuata mijered yake tu na c taaluma au vpaj vyao
ndiye mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza.