Nenda zako, hamkati tamaa tu!? AMEKATWA...!
nimeangalia pia, je kuna uongo gani katika hilo waliloigiza??
ukifanya kazi vizuri watu watakusifu popote utakapoenda
Taabu yenu mnahisi watu wote wanasiasa,hii tabia ya kusifu watu wakati wako ktk mchakato wa kugombea si mzuri hata kidogo kwani kitendo hiki kinatafsiriwa kama kuanza kampeni mapema lakini kwa sababu mzee lubuva mmeweka mfukoni endeleeni tu.
ninavyojua Mimi star tv inamilikiwa na mbunge wa ccm, na hiki ni kipindi cha kampeni mengi yatatokea kipindi hiki kwenye vyombo vya habari, media nyingi sasa ni kipindi cha mavuno.
Najua huwa mnapita pita humu jukwaani kimsingi kitendo cha kumpigia promo mgombea wa uraisi kupitia ccm tena kwenye media kubwa kama STARTV hakikubaliki hata kidogo.
Kimsingi wachekeshaji hawa(Okeche na Braza K) wamelenga kumfanyia kampeni Magufuli kwa kumsifia katika segment waliyoiandaa.
ONYO: Kama mkiendelea na tabia hiyo wapenzi wenu wengi wa kipindi watawakimbia maana si wote ni CCM.
nimeangalia pia, je kuna uongo gani katika hilo waliloigiza??
ukifanya kazi vizuri watu watakusifu popote utakapoenda
Hebu jiulize swali kuwa, walikuwa wapi kumsifu kabla ya kuchaguliwa kuwa mgombea? Inamaana hawakuona hapo mwanzo kama ni mtendaji? Acha uccm naufikili mara mbili.
Najua huwa mnapita pita humu jukwaani kimsingi kitendo cha kumpigia promo mgombea wa uraisi kupitia ccm tena kwenye media kubwa kama STARTV hakikubaliki hata kidogo.
Kimsingi wachekeshaji hawa(Okeche na Braza K) wamelenga kumfanyia kampeni Magufuli kwa kumsifia katika segment waliyoiandaa.
ONYO: Kama mkiendelea na tabia hiyo wapenzi wenu wengi wa kipindi watawakimbia maana si wote ni CCM.
Mbona uzi wa hilo upo na wakuponda wameponda, wakushauri wameshauri TFF ijiangalie.Vipi Magufuli kuwa mgeni Rasmi Kagame Cup?