Futari wapi DSM?

Katabazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2007
Posts
353
Reaction score
25
AAK,
Wadau naomba kuuliza kuna sehemu gani nzuri ya kuwapeleka wageni wangu wanatokea uarabuni kula futari hapa mjini DSM?Akhsanteni.
 
Holiday Inn, wanatoa hiyo service. Iko Azikiwe street
 
kama ni waarabu wa Mombasa ndugu yangu umeumia watakufutulu wewe.............
 
holiday inn haiko azikiwe street,kama hujui kaa kimya....

1.Nawashukuru walionieleza hizo sehemu,Asanteni sana.
2.Wewe jile79 nadhani ni saa 1 kasorobo,Holiday Inn iko azikiwe, unasema haiko Azikiwe-hebu tueleze panaitwaje pale?
3.Mimi nimesema wanatoka uarabuni,wewe jile79 unazungumzia mambo ya Mombasa -wapi na wapi,Geography unayo kweli?Au ni maumivu au raha uliyonayo kama uliwahi kufutu.....Kama si hivyo basi KAjile.
Nawakilisha!
 
kisutu kwa bibi ali futari tammmmmmmmmu sana, pia kuna mzee anaitwa mzee jongo nae anauza tende nzuri za mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…