Ni kweli ukimpenda, ni kweli uli invest kwake, ni kweli mlipeana ahadi nyingi, ni kweli umepoteza muda kwake, LAKINI KWANINI ULIE, KWANINI UKATE TAMAA.
Ndugu, MUNGU anasababu kukupitisha kwenye hayo maumivu huenda hayo maumivu ya Kawa ni darasa na mwalimu kwako.
Umekataa tamaa unaona hutopata mwingine alie bora kama yeye, ndugu sikia Mungu ame kuandalia mtu bora amabe atajua thamani yako na atakupenda kwa moyo wote.
Hata Wana WA Israel waliliia kubaki misri utumwani wakizani ndio sehemu Bora lakin Mungu alikuwa kaandaa mahalo bor kwa ajiri yao.
Usife moyo utapata alie bora kuliko yeye