Kwa mwenye mpango wa kujenga makazi au kuwekeza kwenye property, kuna project iliyofikia kozi 11, ikiwa na vyumba 5 (Master 4), sitting room kubwa, dining, kitchen, store na public toilet.
π Kimanzichana kwa Gongo, karibu na Kilwa Road.
π§ Umeme + kisima cha maji kipo.
π Nyaraka za Serikali ya Kijiji, hakuna mgogoro.
Mwenye interest anaweza kuja kuona site, kisha tukazungumza bei na namna ya malipo.
π° 18.5M π 0622 267 144 β Mmiliki moja kwa moja
Kutoka dar es Salaam kilometer 68