Fursa: Mifuko ya nailoni imepigwa marufuku ni Wakati wetu sasa kutafuta kitu mbadala

C lzm kuanza na machine,u cn start small kwa kutengeneza kwa mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia jinsi ya kuli conquer soko, Fanya hii kama biashara kwa scale kubwa sio kufanya kama tuko kwenye feudal mode, huoni kwakutengenez local akija anayetengeneza kwaubora atakuwa analikamata soko yeye na kwa ukubwa zaidi, dumbukiza pesa sio muda wa kujaribujaribu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia huyo dogo
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Mkuu ukipata mwanya wakupata zile vitambaa vyake sjui aina ya cotton ile kama mjasiriamali tunafanya kuzishona wenyew tu na cherahani mbona fursa izi zinakuja waziwazi tu hapa ni ela izi aise.

Kuna nyengine zinaitwa Organic cotton mesh bags mabeberu ndo wanatumia sana uki Google zinakuja fasta aise. Ukapata materials ukazishona mwenyew ukaweka bei reasonable ukazisambaza pesa kama zote aise.

Sema ukiwa na mawazo mazuri pesa inakosekana, na ukipata pesa mawazo yana kosekana kama law of demand and supply
 
Kweli zipo hizo mkuu zinatumika sana huku niliko
Fursa nzuri sana hata vikapu pia vya kusuka ni faida kubwa ambayo mtu akianza kutafuta wafumaji na akawekeza hela nakuambia ni hela nzuri mtu anapiga

Changamkieni kwa kweli, hela hizo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Unapatikana wapi mkuu na gharama zako zikoje

$ There's clear light at the end of the Tannel $
Nipo Dodoma sijaanza kuchaji ninafundisha man power ya kunisaidia uzalishaji,nafikiri kuwa na Darasa la wajasiriamali mwezi may mwanzoni nitakujuza
 
Si tulikuwa na vikapu kabla ya haya mazagazaga? Kwanini visirudi? Mifuko ya vitambaa pia ambayo unaweza kutumia mara chungu nzima.
usharobaro umeziidi watu..na Afadhali turudi kwenye U halisia wetu.
 
Kwa mawazo yangu hapa tunarudi kwenye matumizi ya vifungashio vya magazeti mana hizo bahasha ni gharama ukilinganisha na mifuko ya nailon ambayo ilikuwa inapendwa zaidi na wauzaji maduka ya rejarej na wauza chips kwao kununua mifuko ya bahasha wataona ni hasara
atakayekuwa anaagiza magazeti nje ya nchi yeye atakuja kuuza kwa kilo atanufaika zaidi
 
Wanaofanya hiyo biashara bado wana stock Kubwa ambayo haiwezi kuisha within a month.

Kuna mmoja nilimsikia akihojiwa clouds alieleza vyema kabisa.

Nadhani wasipotezewe wasikilizwe ili wasipate hasara Kubwa ya pesa kwa Mifuko waliyokwisha inunua.

Ni jambo linalohitaji busara ndogo tu. Hawa wauzaji ni wakubwa na hata hao wenye viwanda wanawategemea hao kwani ndio maajent wakubwa. Wasaidiwe ili yasitokee kama ya wale waliojiuwa kwenye viroba.

Uzuri wote wanaunga mkono katazo ila waruhusiwe wamalize mizigo waliyonayo huku na mbadala ukitake over




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…