Yasser Kagire
Member
- Apr 12, 2013
- 31
- 21
Wahi ujikomboe mapema mkuuhasa ukizingatia pensheni itatoka 25%
Tunafanya hivyo ili kufikisha huduma kwa Watanzania wenzetu.. Usawa ni mgumu hakuna anaebisha na ugumu huo huo pia ndo unawafanya watu wahitaji mikopoMtanyooka na visakosi vyenu hivyo wakati huu wa JPM.
Kwa wiki kazini wanakuja mawakala wa visakosi kama hivi hata makundi 3 tofauti kuja kuwabembeleza watumushi.
Makato yenu ya kihuni sana nyie and the same
Platinum ni weizi ata ww unafanya kazi huko na najua hili unalielewa vizuri. Riba yenu ipo juu sanaa. Riba ya 3.75 kwa mwezi ambayo ni sawa na 45 % kwa mwaka wakati mabenk yana riba ya 17% kwa mwaka. Yaani mtu anakopa 4M par 5 yrs anakuja kurejesha 10 M. Sasa si wizi huoTunafanya hivyo ili kufikisha huduma kwa Watanzania wenzetu.. Usawa ni mgumu hakuna anaebisha na ugumu huo huo pia ndo unawafanya watu wahitaji mikopo
Hawa na Bayport ni mtu na kaka yakeMtanyooka na visakosi vyenu hivyo wakati huu wa JPM.
Kwa wiki kazini wanakuja mawakala wa visakosi kama hivi hata makundi 3 tofauti kuja kuwabembeleza watumushi.
Makato yenu ya kihuni sana nyie and the same
Fika ofisini kwa maelezo zaid.. Kwa Dar Es Salaam Tupo Shoppers Plaza, 2nd floor.. AsantePlatinum ni weizi ata ww unafanya kazi huko na najua hili unalielewa vizuri. Riba yenu ipo juu sanaa. Riba ya 3.75 kwa mwezi ambayo ni sawa na 45 % kwa mwaka wakati mabenk yana riba ya 17% kwa mwaka. Yaani mtu anakopa 4M par 5 yrs anakuja kurejesha 10 M. Sasa si wizi huo
Aaaah dogo pole sana naona saller unatafuta vichwa. Mimi namfaham mpk BDM wako.Fika ofisini kwa maelezo zaid.. Kwa Dar Es Salaam Tupo Shoppers Plaza, 2nd floor.. Asante