GEBE MILLINGA
Member
- Sep 1, 2016
- 34
- 26
Utakosa mdhamini mkuu we jifanye unaenda na kugeuka ila haurudiMm nataka kwenda kuishi inakuaje
Una urefu gani kimo chako kijana...?Ni bora kuzamia kuliko kuishi Tanzania iliyogeuzwa kuzimu na ccm, mkuu, mimi nitafutie demu wa kijapan nioe huko, haya mateso nimechoka maana sina hela ya nauli
kakaNaitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.
Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.
Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,
Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.
Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
kaka sorry unafanya kaz gerej tabata makoka na unaishi tabata segerea..coz naifahamu tabata makoka hapo karibu na tabata dampo na nina rafik zangu weng sana hapo.. nieleweshe vzur mkuuNaitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.
Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.
Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,
Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.
Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
Why mkuu?Watz wanaoishi Japan ni wakuogopwa kama Dengue
Why mkuu?
kwanza ukiingia Japan watz wakikuona wanaambizana kabisa kuna ng'ombe wa maziwa ameingia!kwahiyo watafanya juu chini wakutapeli vijisenti vyako!na ukishastuka wanakwambia tu ukweli ukirudi Tz tutafutie ngo'mbe tukiwakamua na ww utapata chako!Inawezekana mtoa mada anatafuta ng'ombe wa maziwa!ushauri wa bure kama unataka kwenda Japan Nenda kivyako!ukipenda mteremko ujue kuna mlima wakati wa kurudiWhy mkuu?
Ahsanteni. Darasa zurikwanza ukiingia Japan watz wakikuona wanaambizana kabisa kuna ng'ombe wa maziwa ameingia!kwahiyo watafanya juu chini wakutapeli vijisenti vyako!na ukishastuka wanakwambia tu ukweli ukirudi Tz tutafutie ngo'mbe tukiwakamua na ww utapata chako!Inawezekana mtoa mada anatafuta ng'ombe wa maziwa!ushauri wa bure kama unataka kwenda Japan Nenda kivyako!ukipenda mteremko ujue kuna mlima wakati wa kurudi
Nataka kusoma PHD huko....Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.
Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.
Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,
Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.
Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
wanakutapeli vijisenti vyako kwa namna gani..?kwanza ukiingia Japan watz wakikuona wanaambizana kabisa kuna ng'ombe wa maziwa ameingia!kwahiyo watafanya juu chini wakutapeli vijisenti vyako!na ukishastuka wanakwambia tu ukweli ukirudi Tz tutafutie ngo'mbe tukiwakamua na ww utapata chako!Inawezekana mtoa mada anatafuta ng'ombe wa maziwa!ushauri wa bure kama unataka kwenda Japan Nenda kivyako!ukipenda mteremko ujue kuna mlima wakati wa kurudi
Hii inahusikaje tenaUna urefu gani kimo chako kijana...?
Thanks for the updatesNaitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma