Habari,
Taarifa njema kwa wanachama na ambao wanatarajia kujiunga,
MoonAfricanLight inatoa fursa pekee kwa watu 50 wa kwanza watakao wahi, ambao watalipa tsh 30000/ tu watasajiliwa na kuwa wanachama rasmi ndani ya taasis,ambao watapewa nafasa ya kuhudhuria mafunzo yote ya awamu 4(4 STAGES)
Awamu zimegawanyika mara 4 kama ifatavyo,
STAGE 1:
Çctv n Dish istallation course from 23jan-27jan
STAGE 2:
AC/Fridgerator soltn n maintance from 6feb-10feb
STAGE 3:
ufugaji wa kuku,samaki na nyuki hatua zote. from 13feb_17feb
STAGE 4:
mafunzo ya kilimo cha matikit,vitunguu Na mbogamboga from 20feb-24feb
Hii maaalumu kwa watakao wahi ndani ya nafas 50 zilizotolewa,wahi sasa ujipatie fursa ya kipekee zaid,kwani nafas zimebaki chache mno,kwa MAELEZO zaid call....0622001223