Fursa 26 za Ajira TAKUKURU 2017

Mamba 5 inanihusu ila lV academic cetificat sina lakin nina Motor vehicle mechanics level two naweza pata nafasi
 
Ndiyo huwa wanaenda short course kwaajili ya kuwekwa sasa kuwa tayar na maswala ya upelelezi
 
Jamaa mtandao wao haungiliki nimejaribu kuingia tangu mchana lakini nashindwa, msada wadau
 
Sasa ndio taarifa naipata leo..
Au mlikua mnaja nafasi kwanza kwa kuwapa ndugu zenu alafu mje kutuzuga huku kwamba nanyi mmetangaza nafasi wakati mmeshajua watu wa kuwapa..
 
Naona utekelezaji wa Waziri wa umri umeanza kazi.. Anyway wenda unaweza saidia kuinua vijana wawasaidie wazee wao.
 
Mamba 5 inanihusu ila lV academic cetificat sina lakin nina Motor vehicle mechanics level two naweza pata nafasi
Wewe jaribu bahati yako usiwe na wasiwasi kukosa kigezo kimoja tu sio sababu ya kutokuapply maana kuna sifa kuu na zaziada so watadadavua wenyewe waone kama utakidhi kuajiriwa.
 
We unadhana takukuru bank nin.....

Ofisi nyeti ile hakuna fani za mitaani au kipaji.... kinachohitajika ni uelewa wa kiwango kizuuri... afu jazi yako utaijua kuuule ....


au ushawah kuta faculty yao vyuon wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…