Furniture's gulio

marvin pm

Member
Joined
Nov 6, 2016
Posts
33
Reaction score
39
Karibu katika uzi huu maalum kwa ajili ya biashara ya furniture...

Nitakuwa nauza furniture mbalimbali kama sofa, dinning table, vitanda, kitchen cabinets sambamba na makabati bei ya mnada (rafiki kwa mtanzania)

Tembelea uzi huu ili kupata mahitaji kwa ajili ya nyumba au ofisi yako

Bei zetu ni rafiki kwa kila mtanzania wa kipato cha kawaida

 
Sofa bed

6x6

Bei yake ...530,000/=

Tunatuma mikoani
 
Kitchen cabinets

Mbao mkongo- 950,000/=

Mbao mninga - 900,000/=


Softwood...725,000/=


Bei hizi ni kwa kila meter square(kabati ya juu na chini, pamoja na marble
 
Hodi humu ndani.

Wasalaam.

Mkuu Marvin Pm, weka Coffee table tuone na zinaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…