Ndugu,je hiyo ni kwa mikoa ambayo ATN wanarusha kwa mfumo wa digital au hata ambayo hawarushi ili mradi star times inapatikana?Na hiyo channel ya UBC bado ipo au wameiondoa maana leo nimesearch lakini sipatikwa wale watumiaji wa ving'amuzi vya startimes tumekuwa ttukikosa uhondo kwa vile hapana station kati ya zile 45 zinayoonesha mpira live..kwa maana iyo tumia njia hii kupata channel ya ATN ambayo huwa ikionesha mipira ya mara kwa mara.............
fata njia ifatayo
MENU> SYSTEM SETTING> MANUAL SEARCHING> freq type (570) thn OK
itaseach kisha atn itapatikana......enjoy watchin
unaweza kuipata kwa receiver yoyote ya mpeg4 provided umeelekeza ungo kwenye position ya eutelsat 4Mkuu ATN being a free Channel unatakiwa uione katika King'amuzi chochote kile cha DVB-T
Kwangu nimeipata ila kuna meseji inayojitokeza nimejaribu kubonyeza sifuri inatoka kisha inarudi nifanyeje mkuu?
Asante sana mkuu! Sasa hivi kitu live bila kwere!bonyeza buton ya subtitle
kwa kuchakachukua wabongo hatujambo.
saana tu,kwanza channel zao zote ni free to air,pili channel zao za movie ukiangalia picha current ni kuanzia 2004 kurudi nyuma.bora tusubiri zuku satelite tv toka kenya wana channel nyingi sana na kwa bei nafuu na content za hizo channel hazitofautiani na dstv kwa mfano dstv wana crime and investigation network wao wana viasat crime,labda wapenzi wa epl haitawafaa hawana right ya kuonyesha live ingawa wana man u tv<mutv> nk ambayo huonyesha mechi siku moja baada ya kuchezwa.kenya na uganda imeshazinduliwa.
jamani mie nipo arusha nimefanya hivyo sijaipata hiyo atn kwa mwenye taarifa nifanyeje plzz nitupiekwa wale watumiaji wa ving'amuzi vya startimes tumekuwa ttukikosa uhondo kwa vile hapana station kati ya zile 45 zinayoonesha mpira live..kwa maana iyo tumia njia hii kupata channel ya ATN ambayo huwa ikionesha mipira ya mara kwa mara.............
fata njia ifatayo
MENU> SYSTEM SETTING> MANUAL SEARCHING> freq type (570) thn OK
itaseach kisha atn itapatikana......enjoy watchin