furahia ligi kuu ya ulaya kwa ATN using startimes

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
kwa wale watumiaji wa ving'amuzi vya startimes tumekuwa ttukikosa uhondo kwa vile hapana station kati ya zile 45 zinayoonesha mpira live..kwa maana iyo tumia njia hii kupata channel ya ATN ambayo huwa ikionesha mipira ya mara kwa mara.............

fata njia ifatayo

MENU> SYSTEM SETTING> MANUAL SEARCHING> freq type (570) thn OK

itaseach kisha atn itapatikana......enjoy watchin
 
Bora ungesema anayetaka kuangalia ATN akutumie PM kwani na wenyewe huwa wanaingia humu...ni mawazo tu
 
hv tatizo ni kwangu tu au nyie pia. Nkisearch atn naipata fresh sema ina freeze sauti sana mpaka hupelekea video kuscrach kdg. Mwanzo ilikuwa fyn!
 
startimes bana sometimes wanajitahidi cheki now STV kungufu... live seria A, UBC uefa live and some of EPL league
 
Mkuu ATN being a free Channel unatakiwa uione katika King'amuzi chochote kile cha DVB-T
 
kwa wale watumiaji wa ving'amuzi vya startimes tumekuwa ttukikosa uhondo kwa vile hapana station kati ya zile 45 zinayoonesha mpira live..kwa maana iyo tumia njia hii kupata channel ya ATN ambayo huwa ikionesha mipira ya mara kwa mara.............

fata njia ifatayo

MENU> SYSTEM SETTING> MANUAL SEARCHING> freq type (570) thn OK

itaseach kisha atn itapatikana......enjoy watchin
Ndugu,je hiyo ni kwa mikoa ambayo ATN wanarusha kwa mfumo wa digital au hata ambayo hawarushi ili mradi star times inapatikana?Na hiyo channel ya UBC bado ipo au wameiondoa maana leo nimesearch lakini sipati
 
Kwangu nimeipata ila kuna meseji inayojitokeza nimejaribu kubonyeza sifuri inatoka kisha inarudi nifanyeje mkuu?
 
Mkuu ATN being a free Channel unatakiwa uione katika King'amuzi chochote kile cha DVB-T
unaweza kuipata kwa receiver yoyote ya mpeg4 provided umeelekeza ungo kwenye position ya eutelsat 4
 
saana tu,kwanza channel zao zote ni free to air,pili channel zao za movie ukiangalia picha current ni kuanzia 2004 kurudi nyuma.bora tusubiri zuku satelite tv toka kenya wana channel nyingi sana na kwa bei nafuu na content za hizo channel hazitofautiani na dstv kwa mfano dstv wana crime and investigation network wao wana viasat crime,labda wapenzi wa epl haitawafaa hawana right ya kuonyesha live ingawa wana man u tv<mutv> nk ambayo huonyesha mechi siku moja baada ya kuchezwa.kenya na uganda imeshazinduliwa.
 
bora hiyo zuku Tv waje..competation iongezeke, kwani hawa star times wamejiona monopoly company kama Tanesco..wangi watakimbilia ZUKU satellite tv .
 
kwa wale watumiaji wa ving'amuzi vya startimes tumekuwa ttukikosa uhondo kwa vile hapana station kati ya zile 45 zinayoonesha mpira live..kwa maana iyo tumia njia hii kupata channel ya ATN ambayo huwa ikionesha mipira ya mara kwa mara.............

fata njia ifatayo

MENU> SYSTEM SETTING> MANUAL SEARCHING> freq type (570) thn OK

itaseach kisha atn itapatikana......enjoy watchin
jamani mie nipo arusha nimefanya hivyo sijaipata hiyo atn kwa mwenye taarifa nifanyeje plzz nitupie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom