Furaha ya urafiki na mapenzi

swahiba daima

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
97
Reaction score
10
Miimi nasema furaha furaha ya mapenzi na urafiki ipo katika heshima ukweli uaminifu na kuthaminiana. Jingine lipi? Haya ongezeni sasa pesa, sex, elimu.
 
swahiba daima

Hivi vitu vinategemeana sana bidada.vina misingi.yaani kama inavojengwa nyumba.huwezi kupaua kama hujasimamisha kuta.

Kitu cha kwanza ni UPENDO.ukishakuwepo upendo baina ya wapendanao,
Upendo unaleta faraja katika moyo,unafarijika mpendwa,unajiona wa thamani.

Moyo unapata AMANI,unajiona upo mahali sahihi,unatulia.

Moyo ukitulia,mwili unafunguka kuonesha MAPENZI.mapenzi ya kikolea/yakinoga.matokeo mazuri ya mapenzi hasa ni watoto.wakipatikana...

Kwa uaminifu ahadi ikitimia
FURAHA inajitokeza/inalipuka.

Furaha ni matunda ya mti wa upendo.katika ndoa!

na HUWA HAIJIFICHI,maana furaha sio kicheko.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…